SUBARU FORESTER INAUZWA 10,500,000/=


C

CHIJANYE

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Messages
343
Likes
43
Points
45
C

CHIJANYE

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2011
343 43 45
Ni gari la mwaka 2002, Halijatumika sana maana sikai nalo mkoani naliacha DSM, Rangi ya siliver, limetembea Km 97,000. Ni automatic na lina milango mitano. kwa mnunuzi aliye serious tuwasiliane 0787 585860. Bei ni 10.5 milioni na mazungumzo yapo. Mimi si dalali ni mwenye gari.
 

Attachments:

chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Messages
17,002
Likes
14,849
Points
280
chakii

chakii

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2013
17,002 14,849 280
Kisu cha Ngariba, hayo yasiyo na pua ndiyo mazuri! Subaru Forester yenye pua ni Full Turbo, ni rafiki mkubwa na maji ya uarabuni
Labda kama ana sheli ya kufill mafuta bure la sivyo ni maumivuu
 
vollies

vollies

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
760
Likes
444
Points
80
vollies

vollies

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
760 444 80
Imetulia kweli tatizo ni cc zake na unywaji wa bia
 

Forum statistics

Threads 1,235,873
Members 474,779
Posts 29,239,219