Subaru forester crosssport inauzwa

Subaru forester crosssport inauzwa

Pmrika

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
374
Reaction score
210
WP_20160521_07_56_58_Pro.jpg
Subaru forester crosssport, colour - Silver, year - 2004, kms 120,000, haina turbo, number T 586 DEB, Gari bado ipo kwenye hali nzuri. Bei inaanzia 8.9 million maongezi yapo. Simu 0767668904
 
Mi
kwa kweli Mimi mwenyewe nasikitika kuiuza, hizi gari Ni ngumu, ila nitajipanga huko mbele nichukue nyingine.
Kwa kweli mi mwenyewe nimeitamani, sema tu siku vizuri kwa sasa! all the best mkuu
 
chukua 5m cash faster MKUU

0717947500
Mkuu naona iko chini offa yako, Mara nyingi hii gari huwa natumia wk end, ipo kwenye hali nzuri Sana na nilinunua mwaka Jana mwezi may. Pia nimebadilisha tairi zote wk mbili zilizopita. Kila tairi Ni 240k na risiti ninazo. Offa yako kidogo ipo chini. Nauzia shida Tu, napenda Sana Sana Subaru,hii Ni la pili.
 
MKUU hiyo 5m ndo ninayo..... nimeusemea mfuko wangu..... ambayo hata ukiitaka kesho unaipata cash.......
 
Mkuu naona iko chini offa yako, Mara nyingi hii gari huwa natumia wk end, ipo kwenye hali nzuri Sana na nilinunua mwaka Jana mwezi may. Pia nimebadilisha tairi zote wk mbili zilizopita. Kila tairi Ni 240k na risiti ninazo. Offa yako kidogo ipo chini. Nauzia shida Tu, napenda Sana Sana Subaru,hii Ni la pili.
kweli mkuu nimeamini unapenda subaru hata avatar yako ni brand ya subaru!!!
 
Sikuwahi kujua kama hizi gar no being ndogo kiasi hiki
 
Sikuwahi kujua kama hizi gar no being ndogo kiasi hiki
Hizi gari sio bei Sana, bei zake zinaanzia 13 mill hadi 18 mill. Mimi nilinunua kwa 13 milli mpaka naiweka road, hizi gari sio bei kiivo, usiogope mkuu.
 
Back
Top Bottom