Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,942
Saiz tuna amani, misimu miwili ijayo akisajili tutakuwa vizuri sanaUkweli kocha huyu mpaka sasa katupa sauti ya kuongea! Mwishoni mwa enzi za Wenger unaenda kuangalia mechi Roho mkononi! Sitaki kukumbuka zama hizo za Wenger.
Sure mkuuMachungu ya Wenger yamesahaulika Kabisa
Now tumeimarika kiasi ,mzunguko wa pili soon unakuja soon mechi ya city na Chelsea zitatupa mwanga na next game jtano ni Unitedila ipo siku mtakutana na wanaume, ndio mtajilaumu sn
United msijejisahau mkadhani ni Wenger;? Then United hainitishi maana Kila game MOT ni de gea,Lukaku Hata tukicheza pungufu kama yupo uwanjani nisawa na kwamba tupo sawa tungoja tuone na utd next week, wote wazee wa comeback
Na msimu huu matokeo tunayapata second half2nd half aseno wapo vizuri sn aisee
Kwahiyo tunaokutana nao wanawake au?ila ipo siku mtakutana na wanaume, ndio mtajilaumu sn
Man U comeback yao ya suluhu, hiyo sio. Gunners comeback yetu ni ushindi.ngoja tuone na utd next week, wote wazee wa comeback
Utamkwepa sana, kwa aibu na nyumbani kwake uame tu hamna namna!!Hongereni Arsenal kiukweli mashabiki lialia wa Arsenal mliteseka misimu iliyopita.
Niliwahi kutibuana na bro kisa matokeo yenu yeye ni Arsenal damu mimi United.
Saivi namkwepa sana hasa siku za weekend!.
Laccazette alikuwa anatoka majeruhi,Czech tangu apate injury beno kaziba vzr sana Staki hata arudi langoniHuyu Unai sio tu SUB, hata bench anasugulisha majina! Haangalii jina! Yoyote anaweza anzia bench mf jana Laca kasubiria! Na sasa Cech anasugua!