EPL 2019-2020; Chelsea itafungwa na timu zote za big 4

Melvine

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
665
1,261
Duru la raundi ya kwanza ya EPL imeitimishwa leo baada ya kuona games kadhaa zikipigwa katika madimba kadhaa ya kabumbu uko England.

Kwa upande mmoja naona Chelsea ikikubali kichapo cha goli 4 bila majibu kwa timu ya Man U, nadiriki kusema...kwa aina ile ya mfumo na wachezaji naona kabisa Chelsea ikipoteza points kadhaa mbele ya timu kubwa kama Man City, Liverpool, Spurs na Arsenal.

Frank Lampard ndio kocha wa mapema sana kufukuzwa kazi maana mweye timu hana kabisa uvumilivu wa aina hii ya matokeo.
Ni swala la muda tu.

UPDATE no1.

Super Cup Final - Liverpool Vs Chelsea
Full time 1-1, Extra time 2-2.
Penalty Shoot-out 5-4

Liverpool ndio bingwa wa Super Cup 2019-2020.

UPDATE no2.

EPL - Chelsea Vs Leicester City
Full time 1-1

Melvine!
 
kwa mtu anayejua mpira hawezi sema haya... Chelsea ilikua bora dk zote 90..
Defence ya Chelsea ndo ilikua mbovu tuu na hili litakaa sawa pale rudiger atakapo rud na kuwa kiongozi wa beki wa kati...
middle zilikua bora kuliko man u, chance Chelsea alicreate nyingi kuliko man u, possession Chelsea aliposses sana kuliko man u.. ubovu wa Chelsea ni UPI ?

ni swala LA muda tuu.. tusubir walioumia wapote halafu uje useme tena
 
Mtaendelea kusema hivo hivo huku mnashuka daraja, hata Norwich juz alicheza vzr dhid ya Liverpool anfield
 
Duru la raundi ya kwanza ya EPL imeitimishwa leo baada ya kuona games kadhaa zikipigwa katika madimba kadhaa ya kabumbu uko England.

Kwa upande mmoja naona Chelsea ikikubali kichapo cha goli 4 bila majibu kwa timu ya Man U, nadiriki kusema...kwa aina ile ya mfumo na wachezaji naona kabisa Chelsea ikipoteza points kadhaa mbele ya timu kubwa kama Man City, Liverpool, Spurs na Arsenal.

Frank Lampard ndio kocha wa mapema sana kufukuzwa kazi maana mweye timu hana kabisa uvumilivu wa aina hii ya matokeo.
Ni swala la muda tu.

Melvine!
J5 anacheza na liverpool,tutamuona atapikea 4 zngne?
 
USIHUKUMU KWA MECHI MOJA MKUU
 
Arsenal kwa sasa haiko kwenye big four...ukifuatilia kwa makini hivi sasa vyombo vya habari vya Uingereza wanazungumzia top six au big six...Man City, Liverpool, Tottenham, Chelsea, Arsenal na Man United...
 
Kwa hiyo wale waliocheza na man u wachezaji wa nyara fc au?
Game ile lampard kilimcost kwa kupanga kikosi dhaifu aliwaweka bench pulisic,girodi,willian pamoja kante nafikiri umeona game ya Liverpool na Chelsea Jana akarekebisha makosa yake ya game ya man u akawapanga kante, pulisic na girodi ndo maana ukaona mpira mkubwa waliupiga Chelsea kuliko Liverpool na goal la haki la pulisic likakataliwa na hapo kumbuka key players wao wapo injuries Kama rudiger,willian, lotfus cheek pamoja na odoi imagine wakipona Chelsea itakuaje?
 
Swali bado hujajibu.. wale waliofungwa na man u nne ni wachezaji wa timu gani? Na endapo kama wangeshinda ungetuletea hizo habari za key player?
 
Mbona nimekujibu mechi dhidi ya man u wachezaji Kama kante,girodi,willian na pulisic hawakupangwa ndo maana ikaaribu rythm ya timu ndo maana man u wakapata mteremko hiv mfano Barca Bila ya Messi na Suarez unaweza ukajifu umeifunga Barca kwel? Kila timu lazima wawe na key players wao.
 
Mkuu waliingia kipindi cha pili na licha ya kuingia magoli yaliongezeka na mwishoni Man utd wakawa wanacheza kama wapo mazoezini!
 
Duru la raundi ya kwanza ya EPL imeitimishwa leo baada ya kuona games kadhaa zikipigwa katika madimba kadhaa ya kabumbu uko England.

Kwa upande mmoja naona Chelsea ikikubali kichapo cha goli 4 bila majibu kwa timu ya Man U, nadiriki kusema...kwa aina ile ya mfumo na wachezaji naona kabisa Chelsea ikipoteza points kadhaa mbele ya timu kubwa kama Man City, Liverpool, Spurs na Arsenal.

Frank Lampard ndio kocha wa mapema sana kufukuzwa kazi maana mweye timu hana kabisa uvumilivu wa aina hii ya matokeo.
Ni swala la muda tu.

Melvine!
Japo nina Timu yangu ila Chelsea si wabovu kiasi hicho Mkuu
 
Back
Top Bottom