Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 163
- 312
Upo nyumbani una clinical strikers 3 unaamua kuanza bila straika nafasi zinatengenezwa ila umaliziaji unakua changamoto badala atoe maema ambaye input yake ilikua zero uwanjani unatoa mutale na morice halafu unaweka straika Sasa sijui alitegemea nafasi zinatengenezwa na nani????
Ukiangalia leo nafasi za hatari asilimia 90 zimetoka Kwa mutale na morice unawatoa halafu unaweka chasambi ambaye hata mechi za ligi hua haanzi
Kana kwamba haitoshi akatoa naby akaweka ahoua toka lini ahoua akaperfom vizuri kama no 8 maema ambaye ndo kiwango kulikua kibovu nahisi kuliko wote leo kacheza full time .
KOCHA MPUMBAVU SANA IKIWEZEKANA ATUPISHE