Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 87,802
- 152,886
reason is its a little bit difficult to involve this guy at a more intellectual level
Wewe uliyeshindwa kujibu maswali hayo hapo juu na kujiaibisha kwa kuandika madudu ili uonekane umeandika kiingereza tu, kisicho kichwa wala mguu, ndiye unayedai "its a little bit difficult to involve this guy at a more intellectual level"?
Kati yangu mimi niliyeuliza maswali ambayo hujayajibu na wewe uliyejitia wehu kwa kiingereza cha mbwakachoka, nani ana haki ya kusema mwingine hawezi kujadili mambo katika a more intellectual level?