Pole sana mkuu, watu hawatoagi siri za jinsi ya kupata ugali....
Hapa leta story za jinsi ya kutumia vumbi la congo... uone watu tunavyotiririka.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sema unachokijua watu wasaidikePole sana mkuu, watu hawatoagi siri za jinsi ya kupata ugali....
Hapa leta story za jinsi ya kutumia vumbi la congo... uone watu tunavyotiririka.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kampuni yako ina deal na nn kwanza tuanzie hapo??Wana JF nimekuwa nikiona wakandarasi wazalendo tena Wadogo wakipata Sub-contract kwa wachina na wakandarasi wengine hapa Dar na mikoani. Kwa wale Walio ndani wakifanya sasa au wanajua namna ya kupata kandarasi hizo naomba muongozo wa kupata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante! Muhimu tu usisite kuingia na kujaribu kuwaomba wakandarasi wakubwa wakupe Sub-Contracting kutokana na utalaam wako.Jamaa hapo juu namshukuru ametoa mwanga,wengine endeleeni kutiririka,hiki swala ni muhimu Sana hasa kwa biashara changa
Una kampuni unataka kazi?Wana JF nimekuwa nikiona wakandarasi wazalendo tena Wadogo wakipata Sub-contract kwa wachina na wakandarasi wengine hapa Dar na mikoani. Kwa wale Walio ndani wakifanya sasa au wanajua namna ya kupata kandarasi hizo naomba muongozo wa kupata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo DM