PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Kumekuwa nanusufu sana unapohitaji kuhuisha leseni yako,hasa kwa mikoani ambapo unasubiri leseni hadi miezi minne,tunaambiwa leseni zinaprintiwa dar,halafu ukifika TRA ofsin msululu wa watu,kwa hiyo tunaomba TRA mliangalie hili,nadhani enzi za kusubiri huduma masaa sita kwa msongamano wa watu kwa kweli yamepitwa na wkati.
Unaweza omba ruhusa ofsin kwako kwa muda wa saa moja ukifika TRA unakaa mpaka muda unakuishia kabisa.
Nadhani hata watumish wa TRA upande wa leseni idadi kubwa ya wateja inawafanya mchoko sana.
Unaweza omba ruhusa ofsin kwako kwa muda wa saa moja ukifika TRA unakaa mpaka muda unakuishia kabisa.
Nadhani hata watumish wa TRA upande wa leseni idadi kubwa ya wateja inawafanya mchoko sana.