Suala la tofauti ya umri

mutisya mutambu

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
208
Reaction score
82
Naomba saidia yafuatayo; 1.Je kwa ndoa Yupi anatakiwa Kuwa mkubwa kwa Mwenzie? 2. Na ni kwa kiasi gani cha miaka awe amemzidi?
 
Mpango Ni Mshedede Unakava pale Kati?.. Au La?
Mengine Manjonjo Tu!
 
Kama mkuyati unafanya kazi vizuri hata uwe kama baba yake unaoa tu...Kwani we unadhani wanawake wanapenda nini zaidi ya mkuyati.

Hata uwe King au Handsome kama nani wao hawajali, wakikosa tu mkuyati wanakuwa kama vichaa vile hawana raha, na ukiwa unajua ku utumia mkuyati wako vizuri...unadhani hata kama una umri wa babu yake anajali:biggrin1:
 
Tofauti yoyote ya umri si neno ili mradi vibabu vitumie nafasi hii kufanya upedophile. Oa yoyote kuanzia 18 na olewa na yoyote kuanzia 18. This is the golden rule. Chini ya hapo wewe ni pedophile taka usitake. Ila pia uangalia kijana mdogo usimezwe na suga mami bure ukapoteza muda maana haliwezi kukuzalia wana ukaitwa baba kama mimi.
 

ukweli unabaki pale pale,m'ume lazima awe kamzidi m'ke umri kidogo ingawa sababu hatujui ila tumekuta wazee wetu wanafanya hivyo nasi tukaadopt,may be huu ni muda muafaka wa kujiuliza kwa nini watu wanapenda hako ka utamaduni kasiko rasmi?
 
(1)Aithee usifanye kosa, mpite mkeo miaka kama kumi au zaidi, ili aonekane dogodogo na kukupa mambo ya kiujana ujana nawe ubaki kuonekana kijana kijana ingawa kipara ndio kitakuumbua...(ila nawe inabidi uwe fiti kinoma! vinginevyo vijana wenziwe watakusaidia kumnanihii...),na itakusaidia na wewe utulie kwa sababu dogodogo unaye...si unajua wenzetu wanakua kiumbile haraka.....ukioa unaelingana naye au umempita kidogo utashangaa atakavyozeeka haraka(hasa kama hana matunzo eeh), nawe itabidi uanze kuangaza mimamcho nje... Wa kwangu tumelingana nae ila nashukuru bado mambo safiii..(najipa moyo??)
(2) Aithee swali lako very complicated eeh, sina jibu la moja kwa moja eeh...chukua ushauri eeh...ongeza na akili yako eeh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…