HNIC
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 1,898
- 2,197
Tumenyimwa pesa za MCC na zinginezo kwa sababu ya sheria ya CYBER CRIME
Lakini cha ajabu hii sheria imekuwa butu na haifanyiwi kazi kwa sababu ambazo hazieleweki
So far magazeti ya JAMBO LEO, DIRA, MTANZANIA yamekuwa yakiandika habari na kutoa tuhuma mbali mbali dhidi ya NSSF na zaidi dhidi ya aliyekuwa mkurugenzi wa hilo shirika Dr. Ramadhani Dau ambazo kwa mtazamo wangu ni zaidi ya slander na zimejikita kwenye libel.
Ukweli uliopo mpaka sasa ni:
1. Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali bado haijawa public .
2. Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali iliopo bado haijapelekwa bungeni kujadiliwa na bunge.
3. Ripoti inayojadiliwa kwenye mitandao kama ya JamiiForums na magazei ni feki.
4. Magazeti na uongozi wa JamiiForums/media hawajauliziza ofisi ya mkaguzi mkuu wa serikali ukweli juu ya hii ripoti.
5. Ripoti ambayo iko mitaani na kwenye mitandao ya jamii ni ripoti ambayo ilikuwa na tuhuma nyingi dhidi ya NSSF lakini siyo ripoti ambayo kapelekewa Rais,
6.Waziri wa habari, Nape Nnauye kukaa kimya maana yake ni nini na wizara yake kukaa kimya kuhusu huu wizi wa nyaraka za siri za serikali.
7. IGP naye kukaa kimya ina maana jeshi la polisi linaridhia na linashindwa kutekeleza hii sheria ya cyber crime au na lenyewe linaridhia huu uvunjaji wa sheria?