Suala la Mtambuka kuhusu mifuko ya plastiki

Msengi Kiula

Senior Member
Jan 10, 2008
167
225
Kuh.mifuko ya plastic juhudi za serikali /matunda yanaanza kuonekana.

Bado hivi vifungaishio vya biashara za wanaojulikana na wasiojulikana vifanyiwe kazi katika jamii kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja,familia, mashuleni,sehemu za mikusanyuko mbalimbali ...nk

Watu "wafundishwe'' wapi pa kutupa!!!
20190903_103754.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom