suala la mimba na abortion

suala la mimba na abortion

Antony Tonito

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Katika simple observation niloifanya nimegundua kuwa binti akipewa mimba najamaa, mwanaume is in risk of being sentenced compared to binti.
Likewise kama kunaushirikiano katika kutoa mimba binti anaonekana guilt compared to mwanaume.
Hivi kwa nini iko hivo? kwanini isiwe kama ni kufungwa basi wote na hata jamii inavomchukulia mwanamke aliyetoa mimba kwanini isiwe the same na kwa yule alempa na kushirikiana ktk utoaji?

KWA LUGHA NYEPESI
Mwanamke akitoa mimba anaonekana mbaya tena sana ktk jamii hata kama ameshirikiana na mwanaume ktk kutoa, lkn manaume haonekani mbaya kama mwanamke.
Pia ukimpa mwanamke mimba unaweza kufungwa na mwanamke akaachwa huru, kwanini iko hivo?
 
Alitaka kusema hivi... Mimi nikikutia mimba wewe naonekana mimi ndo mwenye makosa lakini hiyo mimba tukishirikiana kuitoa wewe ndo utaonekana una makosa

kwani hata mafail ofisini si kuna IN and OUT,sasa ndio hivyo hivyo na mimba na abortion!
 
you made a new account just to ask this!!!!
 
jamii c ndo imeaminishwa hivyo!
Cha msingi, usithubutu kutoa bora uzae km mwnyw hataki basi!
 
Sasa mwanaume sindo amempa binti? In this case unaongelea msichana ambae ni underage kitu ambacho kisheria ni kosa kuwa na mahusiano ya kimwili nae. Hapo mwanaume ndie anaeonekana mkosaji kwasababu inahesabika kuwa either alimrubuni binti ama alimlazimisha kulala nae. Anaonekana badala ya kumlinda binti. . . AMEMTUMIA.

Kosa la kutoa mimba anabeba mwanamke zaidi kwasababu yeye ndie muamuzi wa mwisho kwenye hilo swala. Mwili wake ndio unaobeba, kama ni dawa za kutolea yeye ndie anaekunywa, kama ni kutolewa na Dr. yeye ndie anaetolewa. Mwanaume anachoweza ni kutoa assistans, kulazimisha/kubembeleza itolewe ila hatoi yeye. Anaetoa ni mwanamke!!!!
 
Back
Top Bottom