AsanteKweli mkuu washauri wabadilike wawe kama wewe ndiomaana me nakupenda
Huu ni ukweli wa wadada wengi wa mjini. Ila mwanamke akikuzidi pesa utamfaham vizuri aisee.Tamaa mbaya sana. Wanawake wengi wameweka pesa mbele upendo nyuma. Hata ukiangalia migogoro ya ndoa mingi source ni Pesa. Ukiwa na Pesa kumzidi mwanamke atakunyenyekea na kukulamba
Ukiishi maisha ya namna hiyoUsimpe moyo wako mtu asiyestahili.
Ukiona anapenda pesa, mpe kula mzigo sepaaa.
Ukiona anakupenda kwa wewe ninani ..stay with her.