Suala la elimu bure na ada ya mitihani kwa kidato cha nne

KMANGA

JF-Expert Member
Jan 30, 2014
674
368
Wana JF naomba kwa yeyote mwenye kufahamu kuhusu malipo ya ada ya mitihani kwa wanafunzi wa kidato cha nne kama yamefutwa kwa mujibu wa maamuzi ya Serikali ya JPM ya kutoa ELIMU BURE ama bado malipo hayo yanatakiwa kulipwa.

Nauliza hivyo kwani kuna kijana wa jirani yangu leo amelianzisha nyumbani kwao kwani baba yake amegoma kumpa shilingi 50,000 kwa ajili hiyo na anadai mwisho ni tarehe 28 Februari 2016 vinginevyo atatakiwa kulipa kiasi hicho pamoja na faini.

Nilipotembelea website ya NECTA nimeona gharama hizo bado zinaoneshwa kama ifuatavyo;
 

Attachments

  • NECTA Registration Matters and Fees.doc
    39 KB · Views: 52
Back
Top Bottom