Zorginashao
Member
- Aug 19, 2020
- 40
- 16
Wakuu Kuna uwezekano Bodi ya mkopo kusitisha mkopo kisa carry over ya course moja.?
Hapana mkopo wako utapewa lkn mwaka wamwisho hutapewa so utajilipia ww mwenyewe maana wanakupa kutokana na muda sahihi wa course y'akoWakuu Kuna uwezekano Bodi ya mkopo kusitisha mkopo kisa carry over ya course moja.?
Ukiisoma second year si utakuwa ushaicomplete..Hapana mkopo wako utapewa lkn mwaka wamwisho hutapewa so utajilipia ww mwenyewe maana wanakupa kutokana na muda sahihi wa course y'ako
Sijajua chuo chenu kina kanuni zipi lkn kwetu ilikuwa unasoma somo Moja tuu ambalo umecarry then next year ndo unaingia mwaka unaofuata kama ni second au third yearUkiisoma second year si utakuwa ushaicomplete..
Ss Kama umecarry, mwaka unaokuja unasoma course za mwaka huo na hio pia uliocarrySijajua chuo chenu kina kanuni zipi lkn kwetu ilikuwa unasoma somo Moja tuu ambalo umecarry then next year ndo unaingia mwaka unaofuata kama ni second au third year
Hapana uwez kusoma course za mwaka tofauti kwa wakati mmoja never happen before MkuuSs Kama umecarry, mwaka unaokuja unasoma course za mwaka huo na hio pia uliocarry
I mean mtu mfno amecarry let say Chem101 akiwa first year.. second year first semester ataisoma hyo chem101 huku anasoma courses za 2nd year..ndo ilivyo kwa baadh ya vyuo..utajua mwenyewe..kama utaisoma ukiwa ndan ya system au ukimaliza chuo,pia hautagraduate adi uisome hyo..Hapana uwez kusoma course za mwaka tofauti kwa wakati mmoja never happen before Mkuu
Apo sawa Mkuu maana kila chuo kina utaratibu wake so kama kwenu ipo ivyo apo sawaI mean mtu mfno amecarry let say Chem101 akiwa first year.. second year first semester ataisoma hyo chem101 huku anasoma courses za 2nd year..ndo ilivyo kwa baadh ya vyuo..utajua mwenyewe..kama utaisoma ukiwa ndan ya system au ukimaliza chuo,pia hautagraduate adi uisome hyo..