mmariii
Member
- Jul 12, 2015
- 71
- 57
Ajira za nchi yetu zimekuwa kitendawili, nani wa kukitegua? Zimekuwa zikitangazwa bila ya utekelezaji.
Wanaharakati wenzangu hebu tupa maoni yako juu ya hili, je! Nini kipo nyuma ya pazia la ajira. Au ni Uchumi wetu umeyumba? ...
Au tufikiri njia mbadala ya kujikwamua sababu kila upande mgumu. Mitaji shida, si kilimo si biashara. Kipaji nacho sinaa, ningecheza mpira au kuimba mziki. Vipi nifanye nn wadau..