Sua sua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sua sua

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Best Mzava, Aug 26, 2012.

 1. B

  Best Mzava Senior Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitakuwa mchoyo wafadhila nisipotanguliza shukurani zangu kwa wana jamvi coz mmekuwa wa2 wakwanza kunishauri japo kuna wachache walipondea sana mm kupangwa IFM bt kwa maombi yenu kwangu now nimepangwa chuo nilichokua nakiota na kutamani sana kusoma pande hizo si kingine bali ni SUA,kwahiyo napenda kuwataarifu wana sua kwamba 2takuwa pamoja,SUA hoyeeeeee
   
 2. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mkuu HONGERA and your welcme !! Kozi ipi sasa
   
 3. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  umefanyaje dogo. mimi nataka niende mzumbe ila wamenipanga RUCO. Tafadhali nisaidie
   
 4. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu fanya mpango uhame ruco ckushauri usome kabisa
   
 5. B

  Best Mzava Senior Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Human health and nutrition mkuu.
   
 6. B

  Best Mzava Senior Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliopt 2nd round tenah mkuu?bt tcu walioa majina ya watu waliopangwa cozi na vyuo ambavyo hawakuomba xo check kwenye website yao kama jina lako liko,then kama liko bac opt 4 the 2nd round tena,bt kama jina lako haliko nivigumu sana mkuu
   
 7. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  karibu sana mkuu
   
 8. B

  Best Mzava Senior Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pamoja sana mkuu,kilichobaki ni sala na kazi(msuli)
   
 9. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  kama kawaida
   
 10. B

  Best Mzava Senior Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu,vp join instruction washatoa ya mwaka wetu au 2na2mia ile ya mwaka jana
   
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  safi sana mkuu...tutakua pamoja mkuu!!!!
   
Loading...