Sua Nao Kwawaka Moto. Wapinga Rais Wao Kuapishwa

ishengoma

Member
Nov 8, 2007
55
0
Leo hii vijana wa SOKOINE UNIVERSITY Wameapply for the preliminary objection dhidi ya kuhapishwa kwa rais wao mteule baada ya mchakato mzima wa kampeini na uchaguzi kujaa dosali.

mahakama imekubali pale Morogoro na kutoa kubali cha kusimamisha kuapishwa mpaka malalamiko yao yatakapo sikilizwa.

ila chuo kinaweza kutumia nguvu kuwahapisha, with consequences kuwa it will amount to the contempt of the court. ni matumaini yangu kuwa chuo hakitafanya hivyo. SABABU KUBWA NI VYAMA VYA SIASA

habari hii imenifurahisha kuona kuwa vijana waelevu sasa wanaelewa namna ya kudai haki zao na wanajua utawala wa sheria.

NINAWATAKIA MAPAMBANO MEMA.
 
Back
Top Bottom