SUA MNAZINGUA SIO KIDOGO

Chuo kigumu sana, wanaosema chuo bata, huwa nawaangalia afu nawatukana kimoyo moyo..
Chuo sio kigumu ka unajua kuipangilia ratiba na kuiheshimu yaani kua sehemu sahihi kwa wakati sahihi kumaliza kazi unazopewa kwa wakati mbn utakula sana Bata
 
Chuo kigumu sana, wanaosema chuo bata, huwa nawaangalia afu nawatukana kimoyo moyo..
Yani mnalia ndio kwanza hata registration hamjamaliza?

Hehehe, hapo bado hamjapokea boom watoto wajipodoe. Lazima disco zimiminike. Ndio utajua chuo kigumu au kikavu.
 
Chuo kigumu sana, wanaosema chuo bata, huwa nawaangalia afu nawatukana kimoyo moyo..
Hahaha.... Akisema chuo bata wewe unaachana naye mzee... Akishapata supp za kutosha / carryover anakuwa na adabu yeye mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…