SUA mnanikatisha matumaini mapema, system inanitaka nilipe tena

26 number

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2016
Posts
337
Reaction score
133
Amani iwe kwenu waungwana, naona SUA wananikatisha tamaa kwenye hili, nililipa elfu 25 kwa CRDB kwa ajili ya application SUA, siku ya kwanza na ya pili kulipa ilikubali kulog in na nikajaza taarifa zote muhimu, nikabakisha sehem ya kuapload chet cha diploma ambapo palikua panazingua kwa maana ya uki appload cheti hakionekani.

Lakini cha kushangaza tangia juzi kila nikitaka kulog in inagoma na inaonyesha sijalipa na kunitaka nilipe tena, nafikiria SUA kwanini wananifanyia hivi maana nikijaribu hata kuwapigia muda wote naambiwa inatumika, kama kuna mwenye uelewa nalo anifahamishe au ushauri wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe kwenu waungwana,,naona sua wananikatisha tamaa kwenye hili,nililipa elfu 25 kwa crdb kwa ajili ya application sua,siku ya kwanza na ya pili kulipa ilikuabali kulog in na nikajaza taarifa zote muhim nikabakisha sehem ya kuapload chet cha diploma ambapo palikua panazingua kwa maana ya uki appload cheti hakionekani,lakini chakushangaza tangia juzi kila nikitaka kulog in inagoma na inaonyesha sijalipa nakunitaka nilipe tena,nafikilia SUA kwanini wananifanyia ivi mana nikijaribu ata kuwapigia mudawote naambia inatumika,kama kuna mwenye uelewa nalo anifahamishe au ushauri wukuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa moja haliachi mke. Kosa hilo moja tayari unakata tamaa? SUA iko poa. Kama iko kozi ambayo unayotaka kuisomea hapo. Nenda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnao-apply huu Mwaka Poleni sana!!

KIMEO CHANGU
 
SUA ukiwaambia tatizo lako wakuuliza, ulilipa kwa njia gani? Ukijibu CRDB bank watakuambia ilitakiwa utumie njia ya Mpesa. Hawana majibu sahihi. Mimi ndio nimetumia njia zote lakini kila nikijaribu kumalizia kuji register naambiwa sijalipia!
 
Pole sana na changamoto hiyo! System ya application haijawa stable kwa sababu ndo inatumika mara ya kwanza. Hivyo uwe na Amani nyingi, vijana wetu wa programming wanafanya wawezalo kuhakikisha inakuwa stable. Pole sana na karibu SUA

Sent from Moto G
 
Kosa moja haliachi mke. Kosa hilo moja tayari unakata tamaa? SUA iko poa. Kama iko kozi ambayo unayotaka kuisomea hapo. Nenda tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio kukata tamaa tu ya kujiunga but fikiria awatoi majibu ya kueleweka nilienda kwenye kongamano la vyuo wakaniambia wanalishughulikia tatizo lakini hadi leo bado inanisumbua nashindwa ata kuelewa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SUA ukiwaambia tatizo lako wakuuliza, ulilipa kwa njia gani? Ukijibu CRDB bank watakuambia ilitakiwa utumie njia ya Mpesa. Hawana majibu sahihi. Mimi ndio nimetumia njia zote lakini kila nikijaribu kumalizia kuji register naambiwa sijalipia!
Ndoivyo yani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana na changamoto hiyo! System ya application haijawa stable kwa sababu ndo inatumika mara ya kwanza. Hivyo uwe na Amani nyingi, vijana wetu wa programming wanafanya wawezalo kuhakikisha inakuwa stable. Pole sana na karibu SUA

Sent from Moto G
Daah yani inakwenda wiki sasa nashindwa kuelewa,ni bora wangekua wanapokea ata simu labda wangenipa maelekezo mengine lakini simu hawapokei,basi kama aiwezekani kuendelea na process wangesema tulipie tena wenye tatizo kama ili tuendelee na process za kuapply.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amani iwe kwenu waungwana,,naona sua wananikatisha tamaa kwenye hili,nililipa elfu 25 kwa crdb kwa ajili ya application sua,siku ya kwanza na ya pili kulipa ilikuabali kulog in na nikajaza taarifa zote muhim nikabakisha sehem ya kuapload chet cha diploma ambapo palikua panazingua kwa maana ya uki appload cheti hakionekani,lakini chakushangaza tangia juzi kila nikitaka kulog in inagoma na inaonyesha sijalipa nakunitaka nilipe tena,nafikilia SUA kwanini wananifanyia ivi mana nikijaribu ata kuwapigia mudawote naambia inatumika,kama kuna mwenye uelewa nalo anifahamishe au ushauri wukuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena wskurudishie 15000 ibaki 10000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana,kama una mtu karibu na huko SUA jalibu kumuuagza akusaidie kufatilia ila kama huna jalibu kupiga cost analysis ya faster faster ukiona ghalama ya kwenda SUA kufatilia ni ndogo kuliko hiyo 25k na kama muda unao bhas wafate ila kama ni vingnevo bhas endelea kuhangaika nao kwa simu na wakat huo ukiwa una fight na kwingineko,
miaka ya nyuma huu mfumo ulitusumbua miaka tunaingia chuo ila ukaja kutolewa baada ya kupigiwa kelele kwahyo nikawa naskia mnaomba kwa mfumo wa CAS ya TCU,najiuliza kwanin wameludisha mfumo ambao sio rafiki kama sio kukomoa applicants bhas wangetoa maelezo angalau tukajua kwanini wamefanya hivi hawa serikar ya kujiita ya wanyonge.....mfano kama ifm miak ile ilikuwa haitoi Degree ila ilikuwa unapewa Advanced diploma ila ajabu na wao walitumia huu mfumo wa ajabu..[/QUOTE]
Ahsante kwa ushauri,mi nipo Dar naweza nikafata ushauri wako kunamtu itabidi niongee nae yupo kule Moro na kama ikishindikana itabidi niende tu gharama aitakua tatizo tena,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom