hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Akiona kazi utasikia naumwa.
Ukimpa kazi akikutana na kakikwazo hata kidogo utasikia uniongeze hela utasikia hii kazi ngumu sana.
ukimlazimisha sana utasikia mimi nilisha fanyiwaga operesheni kwahiyo madokta walinikataza kufanya kazi ngumu na atajitahidi atafute kakovu kokote ili uamini ni kweli wamehi kumfanyia operesheni