Style ya uongozi ya Dr Magufuli inachochea vurugu?

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,386
Kwa maoni yangu, matokeo mabaya ya aina ya uongozi wa Dr Magufuli wa kufukuza,kukejeli na kufokea watumishi na watendaji wa serikali huko mbele ya safari ni kuchochea vurugu nchini.

Kwa mfano sasa hivi wananchi hawaamini mtumishi mwingine yeyote wa ngazi ya chini zaidi ya Rais na pengine Waziri Mkuu wake.Juzi hapa Dr Dickson Saini amepigwa na ndugu wa raia katika hospitali ya Rufaa ya Igalula huko Mtwara kisa tu wanalazimisha ndugu yao atibiwe wanavyotaka wao. Cha ajabu, katika namna inayoonesha kuwa tukio hilo wala halikuwagusa viongozi wa serikali ya Dr magufuli,Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameishia tu kutoa tamko kupitia account yake ya Twitter kuwa wahusika wa kisa hicho wakamatwe...huku ni kutowajibika kwa kiwango cha juu mno!

Hata ile hatua ya majuzi hapa ya Rais kuonesha silaha anazomiliki hadharani nayo haikuwa sahihi.

Hakika ingali wakati haujapita sana,ni vema Rais aanze kutafakari kabla ya kutenda.
 
KAMA HUTAKI KAZI,ACHA KAZI UKAFANYE SHUGHULI NYINGINE.KWANI SERIKALI IMEKUSHIKIA NTUTU WA BUNDUKI IKAKULAZIMISHA IKUAJIRI.ACHIA WANAOTAKA KAZI,TUMECHOKA NA KELELE ZENU.MISHAHARA MNATAKA KUFANYA KAZI MALALAMIKO KIBAO KAMA MTOMTO WA KAMBO.
 
Back
Top Bottom