STUN GUN (Electric Shock Self defence)

STUN GUN (Electric Shock Self defence)

piusmwacha

Member
Joined
Jun 7, 2018
Posts
16
Reaction score
4
STUN GUN

Electric Shock Self defence

Quality: 50000KV
Price: 95000/=

Call: 0766139379

Location: Sinza Mori
20180917_142253.jpg
 
nadhani ndio unaanza kujifunza kuuza bidhaa, elezea inafanyaje kazi na jinsi ya kuitumia
 
Ila kwa kuwekana sawa anayoiongelea hapa mtoa mada ni Taser Torch, na si Stun Gun
Jifunze zaidi kwa picha (lugha ya kingereza)
Kama utahitaji msaada nitaeleza kwa kina.
StunGunVsTaser.jpeg
 
Vibaka na wabakaji watatutesa sana wakipata access ya hiyo kitu
 
mkuu hata wembe wa mia ni silaha na unakaa ktk wallet, ukishuka ktk daladala ukiweka chenji unotoa mkononi, mdogo mdogo. Nisogelee. Uwe mgomba

Ma taser na ma gun utatembea nayo?. Self defense ziko nyingi wakuu
 
Ina nguvu kiasi gani,maana usije mtu ukaua ikawa balaa,au inazimisha mtu???
 
Ina nguvu kiasi gani,maana usije mtu ukaua ikawa balaa,au inazimisha mtu???
haiui sana ita msapraizi tu mtu kwa kudhani labda ameshika waya ulio chubuka wa umeme baada ha hapo maamuz ya kwanza ni kitoka nduki...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom