i beg to disagree.....sidhani kama kuna ukweli hapo labda utupatie concrete reasons WHY? sio kitu cha kufanya research kubwa mpaka ujue vyuo vingi vya bongo miundonombinu yao ni hovyo!Lakini ukiniuliza mie wapi mahala pazuri pa kusomea kati ya ugaibuni na home mimi moja kwa moja nitakwambia usijisumbue na mambo ya ugaibuni.Labda tu kwa level ya juu kama Ph.D
mkuu sio Ph.D peke yake....mfano mtu anaesoma ICT anaitaji miundombinu ya uhakika aweze kuki apply kile abachokisoma.Mkuu ni mawazo yangu na naomba uyachukulie hivyo.
Ph.D ktk fani nyingi inahitaji miundo mbinu thabiti ambayo itakusapoti na kukuwezesha ufanye vizuri. Na kingine nachofikiri Ph.D inahitaji wasimamizi ambao wako to date, nahisi sie waafrika ktk vyuo vyetu ukishakuwa prof basi unalizika kiaina , na fanya tafiti nafikiri unaweza kubali kwamba ma Dr na Prof wetu ni passive. Ni hoja tu.
Mkuu
Mamo ya udaktari siyaelewi vizuri,nafikiri haya yanategemeana nchi na nchi, nafikiri japo sina uhakika daktari aliyemaliza Cambridge anaweza asiruhisiwe ku-praktsi Ukraine mpaka apasi mitihani yao kadha wa kadha.
Mkuu kwani tofauti ya Chenge wa Havard na Lowasa wa Udsm ni nini?
Nafikiri elimu ni ile ile ila kwa bongo inakosa vionjo fulani kutokana na u-passive wa ma lecturer na hata hivyo elimu ya chini kwa vile unaweza fanya vizuri sana kama mwenyewe upo active kwa kudownload pdf na simulators kutoka ktk internet ndo maana nasema hakuna haja ya kwenda Cambridge.
Ama mzee wewe unaona je?
Kwanza kusoma europe kitu gani, watu watulie home wapige skuli home, labda ikitokea amekosa nafasi home. Lakini ukiniuliza mie wapi mahala pazuri pa kusomea kati ya ugaibuni na home mimi moja kwa moja nitakwambia usijisumbue na mambo ya ugaibuni.Labda tu kwa level ya juu kama Ph.D
Si kweli mzee ina maana unataka kulinganisha elimu ya Bongo na ya Harvard, Cambridge, Oxford na vinginevyo? Inategemea chuo gani na nchi gani kaka. Unadhani Dk aliyemaliza Muhimbili anaweza kuruhusiwa kuja kupractice UK?[/QUOTE
Wanaweza kupractise UK,lakini mpaka wafanye mitihani tena.
Medicine ya Tanzania ni very poor ,Professor wa Muhimbili ni mediocre Ulaya,with few exceptions
Tatizo huwa wanacrame tu hawafanyi mambo yenye uhakika katika real fact. Kuna jamaa mmoja yeye ni wa Sierra Leone ni Professor pale Liverpool University na ni mkuu wa mambo ya Tropical Medicine kuna siku niliongea naye baada ya kutoa lecture pale London Royal Medicine akasema alipofika huku alianza kusoma ka upya tena. Kilichonivutia mpaka nikamfata nilishangaa huyu mwafrika akaroa lecture pale manake panel so mchezo ilikuwa lakini jamaa ni kichwa mnoo
i beg to disagree.....sidhani kama kuna ukweli hapo labda utupatie concrete reasons WHY? sio kitu cha kufanya research kubwa mpaka ujue vyuo vingi vya bongo miundonombinu yao ni hovyo!
mkuu sio Ph.D peke yake....mfano mtu anaesoma ICT anaitaji miundombinu ya uhakika aweze kuki apply kile abachokisoma.
teh tehHalafu Mkama kitu kingine believe me kuwa kichu kidogo sana cha UK au US kinaiacha mbali za UDSM. Material yanaweza yakawa ni yale yale lakini technology mzee, yaani huku wamebase zaidi katika uhalisia sio unadharia kaka. So kukushauri ukipata chance chomoka utafeel utofauti
teh teh
Ni kweli kabisa unachosema, kwamba chuo kidogo kinaicha udsm naweza kukubali na kukataa pia.
Tatizo liliopo afrika wale ma lecturer wengi kama sio wote ni passive na ndio kinachotofautisha na ugaibuni, hilo tatizo la u-passive ni tatizo karibu kwa waafrika wote wanapokuwa ktk nchi zao.Sasa wanafunzi wa ugaibuni wanakuwa na current info tofauti na wa nyumbani, kitu ambacho ni rahisi kurekebisha.
Kitu kingine ambacho umekigusia wewe, ma lecturer wengi wanalazimisha wanafunzi kukalili na wanawabana sana wanafunzi ktk nonsense ambazo haziwasaidii zaidi ya kuonekeana hawajui. Nakubaliana na na wewe kabisa ila kuna kitu kidogo sana cha kurekebisha.
Kitu cha kurekebisha mzee ni kuwa ni lazima kurudi kubadili hali ya Bongo hapo ndo pa kubadilsha sio kukimbia tu kila siku bali tufanye mabadiliko hayo katika vyuo hivi na hiyo ni kwa wale waliosoma nje na ndani ya nchi pia
Chuo si majengo tu. Ni vitu vingi saana kuanzia IT, uwezo wa waalimu na exposure ktk dunia ya leo kumfanya mtu awe competitive.Mkuu
Kama tumeweza, kujenga hii kitu ndani ya mda mfupi kununua vijimashine ama computer tutashindwa kweli?
hebu click hapa chini
http://www.udom.ac.tz/
Chuo si majengo tu. Ni vitu vingi saana kuanzia IT, uwezo wa waalimu na exposure ktk dunia ya leo kumfanya mtu awe competitive.
Sina hakika kama unaexposure zote hizo ulizoziita za chini na za juu. Binafsi ninazo zoote za UDSM na nje katika level mbalimbali. Ukweli kabisa we have a long way to go. Km mtu unapata opportunity, pls usisahau familia yako kwenye exposure hiyo. Its real unique. Unafeel output instantly however kuna madhara kwenye social aspect.
Km tunavyoitwa nchi zinazoendelea basi hata kwenye elimu bado tunaendelea. Hebu angalia hizo ratio za mwalimu kwa mwanafunzi, upatikanaji wa vitabu vinavyoenda na wakati, ICT, kuanzia primary to secondary na baadae vyuoni, ukweli safari ni ndefu saana. Si kwenye medicine na ICT tu bali na engineering, research overall, business etc. mambo ni bado.
Mkuu ni mawazo yangu na naomba uyachukulie hivyo.
Ph.D ktk fani nyingi inahitaji miundo mbinu thabiti ambayo itakusapoti na kukuwezesha ufanye vizuri. Na kingine nachofikiri Ph.D inahitaji wasimamizi ambao wako to date, nahisi sie waafrika ktk vyuo vyetu ukishakuwa prof basi unalizika kiaina , na fanya tafiti nafikiri unaweza kubali kwamba ma Dr na Prof wetu ni passive. Ni hoja tu.