Kweli mkuu China hapana ishu sanaaKama una mpunga na marks zimesimama mzee nenda America..
China au India huko ni machakani mzee!
Kweli mkuu China hapana ishu sanaa
Wengi waendao nje ni failures
India
China
Malaysia
Wakati wenzetu wanapeleka best brains kusoma west,sisi tunapeleka vilaza East!
What a loss!
Kenya hawanaga mchezo na hizi mambo!
Serikali ingeanza dhibiti kwanza hawa mawakala maaana wanasababisha nchi inakuwa na wasomi vilaza
Angalia hapa utalishwa matango pori. China siku hizi wako vizuri unachotakiwa ni kuwa mwangalifu. Kuna group mbili zinaweza kukusaidia (1) Global Education Link na (2) Universities Abroad Representatives. Wana uzoefu wa kusaidia wanaotaka kusoma nje. Google them halafu watafute. Kuhusu elimu unajikuna pale unapofikia. Hata India ukitafuta kwa umakini utapata chuo kizuri. Gharama zao China na India ni nafuu ukilinganisha na USA, UK n.k.msaada jinsi ya kupata chuo china
Acha kukariri maisha..kunawatu tumesomea hizo nchi tuna kula maisha hapa bongo..na tuliondoka tuko vzr tu kiufaulu.Wengi waendao nje ni failures
India
China
Malaysia
Mkuu ulisoma bsc ya arts nini..mbona india wako vzr kwenye mambo ya medicine na i.t.Asian countries wanapigana usiku kucha kusoma marekani, uingereza, and whole of scandinavian countries. Nyie mnataka kwenda China.
Ila all in all China have the best education system compared to ours.
Nimesoma kwenye Asian countries ila nilikuja kujilaumu baadaye.
Mkuu ulisoma bsc ya arts nini..mbona india wako vzr kwenye mambo ya medicine na i.t.
Mkuu Sijasema nilisoma India nimesema nilisoma kwenye Nchi mojawapo ya Asia.
Oky..sawa..ila inshu ni uchaguzi wa vyuo sahihi..hata hizo nchi zao kuna vyuo vibovu zaidi hata ya vya hapa nchini.
Angalia hapa utalishwa matango pori. China siku hizi wako vizuri unachotakiwa ni kuwa mwangalifu. Kuna group mbili zinaweza kukusaidia (1) Global Education Link na (2) Universities Abroad Representatives. Wana uzoefu wa kusaidia wanaotaka kusoma nje. Google them halafu watafute. Kuhusu elimu unajikuna pale unapofikia. Hata India ukitafuta kwa umakini utapata chuo kizuri. Gharama zao China na India ni nafuu ukilinganisha na USA, UK n.k.
Acha kukariri maisha..kunawatu tumesomea hizo nchi tuna kula maisha hapa bongo..na tuliondoka tuko vzr tu kiufaulu.