BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,102
- 14,024
Umestruggle kulima mpunga Igurusi Mungu kakubariki umevuna umepata visenti vyako ukaona ununue zako gari la kurahisisha harakati zako unaweka rekodi ya kuwa mtu wa kwanza kwenye ukoo wa Mwakalinga kumiliki gari
Struggle zinaanza kimsingi utajifunza mengi but in hardway bahati mbaya upate fundi mjanja mjanja basi mpaka ujue unajua fundi wako atakuwa kashajenga kupitia wewe.
Utakuwa kama mzazi aliyeombwa pesa ya kutengeneza asembo