didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,101
- 3,567
wewe ni mjinga sana kaka. Sasa kati ya mipango miji na kupima kipi kinaanza? Waliondoa wao ila wewe hujui jinsi ya kuziondoa. Pumbavu kabsa sasa bila gharama utatengaje bajeti ?Gharama sio hatua ya kwanza bali ya mwisho
Mipango miji unafuata hatua zifuatazo
Squatter hizi zinaondoka vizuri Beijing ya 1930's au Singapore ya 1960's ilikuwa ni squatter tupu ila leo hazipo sababu kubwa ni kuwa na ukuaji wa uchumi ambo ni inclusive, na mkubwa na ambao ulikuwa consistence
- Unapima nchi nzima
- Unatunga sheria ili mipango miji ifuatwe kwa lazima yaani anayejenga hata room moja lazima afuate mipango miji ni lazima na sio hiari
Sababu ya kutokuondoka hizi squatter ni kwa sababu ya ukuaji wa uchumi mdogo ambao hauko connected na watu
Jielimishe zaidi pia katika hili.Ndio Ujinga ni tusi kubwa sana
Nimeshakuambia wewe hata Uniite mjinga au mpumbavu kamwe huwezi nikera wewe niite mjinga au mpumbavu ukichoka kampumzike alafu urudi tena useme wewe mjingaa na mpumbavu na circle goes onwewe ni mjinga sana kaka. Sasa kati ya mipango miji na kupima kipi kinaanza? Waliondoa wao ila wewe hujui jinsi ya kuziondoa. Pumbavu kabsa sasa bila gharama utatengaje bajeti ?
kwaio saiv umetoka kweny maada ya kupima na kupanga? Nijibu bas kati ya kupanga na kupima kipi kinaanza?Nimeshakuambia wewe hata Uniite mjinga au mpumbavu kamwe huwezi nikera wewe niite mjinga ukichoka kampumzike alafu urudi tena useme wewe mjingaa na mpumbavu na circle goes on
Nimekuambia squatter zinaondoaka kwa kuwa na ukuaji uchumi mkubwa ambao utakua consistent kwa miaka zaidi ya kumi sio swala la mijuiza ni lazima uwe na economic growth ambayo ni inclusive
Changamoto kubwa inayofanya hizi squatter kutokuondoka na kuongezeka ni kuwa na economic growth ambayo haiko connected na watu walio wengi
Utapangaje kitu ambacho hujapima serious unauliza swali kama hili kwelikwaio saiv umetoka kweny maada ya kupima na kupanga? Nijibu bas kati ya kupanga na kupima kipi kinaanza?
Basi hujui mambo kaka ni bora kukaa kimya. Unaanza mipango miji na unakuja survey. yaan urban planning preceed surveying. Kumbe nilikua nabishana na mtu asiyejua mambo na anajiona anajua inshort you have delusional grandeurUtapangaje kitu ambacho hujapima serious unauliza swali kama hili kweli
Sasa survey sio issue ya kawaida mbona iko wazi ndo inaanza ebu jikite kwenye mambo ya msingi usinnganganie tu point moja ambayo ni obviousBasi hujui mambo kaka ni bora kukaa kimya. Unaanza mipango miji na unakuja survey. yaan urban planning preceed surveying. Kumbe nilikua nabishana na mtu asiyejua mambo na anajiona anajua inshort you have delusional grandeur
Sahihi kabisa, kuna namna watu wanauchukulia poa sana uchumi aisee.unfortunately unaongea kama mtu aliemaliza form six EGM au HGE yaan point ni zilezile zaidi ulichoongeza ni Mkapa na structure yake. Talk as implementer enriched with statistical data and evidence and how you are going to achieve what you have articulated. For example if i ask, Do you know the price of surveying just one acre?
Kama nchi nyingine wameweza kuondoa squatter hata sisi tunaweza ziondoa kwa kupanga miji na kuweka ni sheria kufuata mipango mijiSahihi kabisa, kuna namna watu wanauchukulia poa sana uchumi aisee.
Uliona wap survey inaanza?Sasa survey sio issue ya kawaida mbona iko wazi ndo inaanza ebu jikite kwenye mambo ya msingi usinnganganie tu point moja ambayo ni obvious
Mimi naongelea uhilisia wewe unaleta story za kuaminika
Sasa huyu ni kilazaSahihi kabisa, kuna namna watu wanauchukulia poa sana uchumi aisee.
Kwa sheria ya umiliki wa Ardhi ya Nchi yetu, itakuwa ni ngumu sana kuondoa squatter. Na ukibadilisha sheria Ardhi yote itamilikiwa na wachache (Kenya case) Ndiyo maana ninasema unaongea mambo magumu sana kwa nadharia nyepesi nyepesi mno Mkuu. Uchumi hauwezi kuujadili kirahisi hivyo..... ni muhimu kuuconect na culture, sheria mbalimbali, reality nk lakini muhimu sana ku articulate kwa number na kutoa interpretation ya hizo variables zako...Kama nchi nyingine wameweza kuondoa squatter hata sisi tunaweza ziondoa kwa kupanga miji na kuweka ni sheria kufuata mipango miji
Watanzania tunasafari ndefu sana kwa akili hizi sidhani kama tutafikaKwa sheria ya umiliki wa Ardhi ya Nchi yetu, itakuwa ni ngumu sana kuondoa squatter. Na ukibadilisha sheria Ardhi yote itamilikiwa na wachache (Kenya case) Ndiyo maana ninasema unaongea mambo magumu sana kwa nadharia nyepesi nyepesi mno Mkuu. Uchumi hauwezi kuujadili kirahisi hivyo..... ni muhimu kuuconect na culture, sheria mbalimbali, reality nk lakini muhimu sana ku articulate kwa number na kutoa interpretation ya hizo variables zako...
Wewe usidhani kama unanikera hapana wewe endelea usichoke ndo akili zako zilipoishiaSasa huyu ni kilaza
Napata shida sana na baadhi ya waleta mada; sasa kaka wewe umeleta mada halafu hautaki watu wafikiri the hard way. Othwrwise ungeandika gazeti ukachapisha then basi... it tells kiwango chetu cha kufikiri as a country; mimi ninadhani umeleta mada watu waichallenge, wakuongezee uelewa, tujadili nk nk..Watanzania tunasafari ndefu sana kwa akili hizi sidhani kama tutafika
hakuna jambo rahis na mambo mazuri yana gharama
Kwa hiyo unataka hizi squatter ziendelee kuwepo kwa sababu ni nadharia nyepesi
Unavyosema niko emotion kuna sehemu nimekudhihaki au kukuita majina ya ajabu ebu nionyesheNapata shida sana na baadhi ya waleta mada; sasa kaka wewe umeleta mada halafu hautaki watu wafikiri the hard way. Othwrwise ungeandika gazeti ukachapisha then basi... it tells kiwango chetu cha kufikiri as a country; mimi ninadhani umeleta mada watu waichallenge, wakuongezee uelewa, tujadili nk nk..
Yaani unakuea emotional mara mambo mazuri yana gharama (hoja za kisiasa siasa) kama umezungumza Uchumi, kaa pembeni angali watu wanavyocheza na mada na Kama ni pambo umeleta hapa JF tusome tu then tukae kimya au tukusifie (basi -all the best mkuu)
sikukeri bali nakuambia ukweliWewe usidhani kama unanikera hapana wewe endelea usichoke ndo akili zako zilipoishia
Huo sio ukweli ni mtizamo wako na ulikuwa unataman sana niingie kwenye hiyo ligi yakosikukeri bali nakuambia ukweli