Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
bei yake please
bei kwa dar ni 250000-230000
Ni DVB-S2 na DVB-T2?
Kama sio hivo basi sio best kwangu mm na watu wa lika la kawaida katika satellite world...
Kwa sasa kuna receiver nzuri sana kwa wateja wenu nyie tu ndo hamjui ku target soko...
Mfano angalia hii receiver SpeedHD S2 hii ni DVB-S/S2(MPEG2/4) na DVB-T/T2 yaani hapo Terrestrial TV zile zinashikwa na Startimes zote unazishika bila kuitaji Dish ni Antenna tu...Dish utaliitaji kwenye DVB-satellite
Na inakua na RF OUT
Ina edit BISS keys
Ina supoort Unpaired smartcards
Ina kubali server nyingi sana bila shida kama hiyo srt 4922
Ina support Youtube,youporn,IPTV etc
Ina support DLNA
Inakubali GPRS,3G Modems,WiFi,Ethernet etc
Na ikumbukwe hapa wateja wengi hawashiki complex channels ni ile Intelsat tu ya local channel, Amos 5,Arabsat,Astra 2f etc ambazo signal zake sio weak kiasi cha kuitaji receiver complex....
By the way kuna Model mpya kama srt 4950 ni more advanced kushinda srt 4922 sasa sijajua Ubora wa 4922 ni upi na bado Bei ya 230,000/= kwa receiver ya FTA naweza kusema mnapigwa tu hizo receiver Kenya ni 4000ksh mpaka 6000ksh sawa na 72,000/= mpaka 100,000/= sasa inakua je package inayokuja Dar au TZ ni bei kubwa hivo?
Hayo ndo yangu kwa leo

jamaa muongo sana wewe arafu sio kweli kua toleo jipya la sasa la srt ni 4950... kwa taarfa yako tu saizi wametoa matoleo mawili ambayo ni 4922d plus na srt 4969x
kama haujui kitu uliza sio kuleta mambo ya ajabu ajabu tu...
Njoo hapa we tapeli mbona umekimbia.
mkuu una uhakika na ulichopost? hapa tunaelimisha na si kupotosha kaka.na mimi si mfanyabiashara wa strong, najua unaiponda ili uuze qsat zako
Kwanza kosoa usemi wako mm siuzi QSAT kasome thread zangu zote...
Na post yangu haujaielewa isome upya ina maswali humo humo...
post hii ni ya kinafki sana... na haujui lolote kuhusu srt wewe... hivi unaisifiaje srt4950 eti iko more advanced sana wakati imeshindwa kufungua chanel ya idman ambayo iko fta siku zote.?
mbona sensor yake haina ngugu kuliko srt 4922... hivi unajua ktk srt toleo zote ni ipi kubwa.?
vipi kuhusu chanel modulation ni rcvr gani ambayo ina chanel modulation kubwa kwa sasa zaidi ya srt4922.?
Kama sio hivo basi sio best kwangu mm na watu wa lika la kawaida katika satellite world...
Na ikumbukwe hapa wateja wengi hawashiki complex channels ni ile Intelsat tu ya local channel, Amos 5,Arabsat,Astra 2f etc ambazo signal zake sio weak kiasi cha kuitaji receiver complex....
By the way kuna Model mpya kama srt 4950 ni more advanced kushinda srt 4922 sasa sijajua Ubora wa 4922 ni upi? ......
Sasa kama huuzi qsat kwa nini uiponde strong, kilichowaudhi watu unasema kenya zinauzwa 72000tsh una uhakika na unachokisema?na unadhani wooote waliokujibu hawakukuelewa ?? Labda zipo fake made in somalia