Strictly no passengers, abiria hawaruhusiwi humu

Alafu hayo magari, nawahurumia akina dada wanaopanda hovyo hovyo hayo magari. Kuna dada mmoja nilisimuliwa story zake, kulkuwa na shida ya usafiri siku hiyo, akaambiwa kama ataweza kupanda lori yeye akakubali tuu. Humo kuna dereva na msaidizi wake na unajua hapo nyuma ya dereva kuna godoro limewekwa kama kitanda. Walimla threesome dada wa watu tena bila kinga. Baada ya muda dada wa watu kucheki afya yake haiko sawa, kupima ana virusi, so sad.
Akina dada shtukeni siyo kila gari unapanda tuu
 

Kinachosikitisha hao unaowashauri hawapo umu ndani ya jamvi.
 
Kinachosikitisha hao unaowashauri hawapo umu ndani ya jamvi.
Muongo huyo jamaa huyo dada alitaka yeye na hakuna kitu km hicho sababu km alifanyiwa hivyo angechukua number plate hilo lori lingekamatwa halafu hiyo gari ktk kadi seating capacity ni 2 km kamchukua huyo dada wakawa 2 sio kosa na hakuna sehemu imeandikwa jinsia ya kupanda na kutokupanda
 

Usiwe mbishi bila sababu. Umesema kuna siti 2, sasa akili za kuambiwa changanya na zako. Wakikaa dereva na msaidizi wake, huko nyuma kwenye hilo godoro anapumzika mtu. Kwa hiyo walipompakia huyu dada ina maana huyo msaidizi wa dereva yuko kwenye godoro. Sasa, safari ikishaanza ujue huko kuna kupata vinywaji, wanamlewesha, very simple. Infact, hiyo story ni kwamba mwisho wa safari walimdump alfajiri pembeni mwa barabara wasamaria wema ndo walimwokota.

Kama haiwezekani watu watatu kupanda kwenye hiyo picha hapo juu huyo dada unayemwona amepandaje? unadhani dereva yuko peke yake?
 
Unachokisema ni kweli,lakini hawa wadada wa sasa (Screen touch 4G LTE) utawaeleza kitu gani wakakuelewa ???
 
Acha kupotosha watu hiyo kampuni dereva anatembea peke yake hana msaidizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…