Strictly For Men: Way To Get 6 Packs

He he he, wameamua kujitengenezea blezia? Makubwa haya
 
ZINDUNA - whatever your name is, perhaps, we could come along to your home one day
 
natural method ndio mpango mzima...
 
Hiyo bidhaa haiwafai wenye vitambi...teh teh
 
Last edited by a moderator:
Miili mingine ni ngum Sana kuwa na hizo packs cha msingi Fanya mazoezi Sana na kwa bidii kuwa na ratiba maalum ambayo hutakuwa unaivunja Mara kwa Mara panga Mlo vizuri mwili utakuja wenyewe namna unavyotaka ila ukisema nataka packs unaweza piga Sana usipate afu ukakata Tamaa Fanya mazoezi kwaafAya Sio kwa pressure ya watu.
 
:nono: daaa .... sasa na solution ya kibamia itakua kuvaa dildo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…