Stress

Magufur ana kaz sana kutufikisha kwenye tanzania ta viwonder
 
Wazungu wanaita Pregnancy.
Stress? Possible scenarios
Kwa nini hukutarajia?
Hukufanya tendo pendwa?
Humjui baba?
Au aliyekupa mimba sio mtarajiwa?
Are you under 18?
Aliyekupa mimba amekataa?

Whatever it is don't kill that baby.
 
Tena kabinti kenyewe kanachosema hivyo ni kamwanafunzi ka shule
 
Sasa wewe ndio huzioni alafu wakakwambia?

Haya

Wakakwambia zilienda wapi?
 
Natarajia baba wa mwana ajitokeze kwa redio ,aanze kutuma laki 5 na upate gari juu...wenzako wanafurahia mimba wewe unasema ni stress.Hongera kwa kupata matokeo ya mtihani mlioufanya wawili.

KWELI BINADAMU TUPO SAWA LAKINI HATUFANANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…