Stress zikizidi sana...!

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,664
Huyu mdau inasemekana alihonga gari kwa shangingi ambalo limemuacha solemba.
Hapa akijifariji.

 
Tabu ya nini, anajikamulia kama kawa
 
Achana na stress ukiziendekeza unakuwa chizi bila kujua
 
Hapo kama hiyo kitu anagida ni original WALIMU na si chai, lazima atakuwa RIP!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…