Rudi benki ukawape hizo hela watapokea kama wanabyopokeaga noti chakavu....Habari wakuu!
Jamani naomba mnipe idea nifanyaje kwa hili lililonikuta. Yaani asubuhi hii nimeenda Atm kutoa hela sasa baada ya hela kutoka nikachukua then nikachukua na risiti. Sasa kutokana na stress nilizokuwa nazo nimechana elfu hamsini nikatupa kwenye dustbin nikijua nachana risiti! Akili imesimama kwa muda wakuu nipeni idea nifanyaje màana hali si hali.
Weka pichaHabari wakuu!

ukiunganisha noti 5 kuchana znaleta usumbufu, labda noti moja moja, na sidhan kama unaanza ya 1,2,3,4 ya 5 akili hairudi tuuuu! acha fix broMkuu unaweza kudhani utani ila hata mimi siamini kama kweli nimefanya hiki kitu
JINYONGEHabari wakuu!
Jamani naomba mnipe idea nifanyaje kwa hili lililonikuta. Yaani asubuhi hii nimeenda Atm kutoa hela sasa baada ya hela kutoka nikachukua then nikachukua na risiti. Sasa kutokana na stress nilizokuwa nazo nimechana elfu hamsini nikatupa kwenye dustbin nikijua nachana risiti! Akili imesimama kwa muda wakuu nipeni idea nifanyaje màana hali si hali.
Dah...acha ujinga banaa... Toa nyingine.....unaweza kutoa hadi million 3😀😀😀Habari wakuu!