Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Eeeh bana eeh!Hapana love, nilikuwa naenda kumsalimia shemeji carbamazepine wa Kichwa Kichafu tu
Joseverest napita tuu mimi..
Msalimie shemela.
Eeeh bana eeh!Hapana love, nilikuwa naenda kumsalimia shemeji carbamazepine wa Kichwa Kichafu tu
Hapana baby huyo hana madhara ni jirani yangu kichwa kichafu mpenzi wake carba



Asante babaaNakuona nakuona...
Redbull inakuja..
Leo kijiwe kimepoa, kulikoniHivi Shunie leo yuko wapi
Jirani ndio maana nadhamini huu ujirani wangu na wewe.Niambie jirani yangu leo hawajakuonea huruma wakufungulie pm japo kidogo hao warembo???
Hiyo veeepe ni veeepeHuku veepe
Mzima wa afya tele hofu kwakoSalama mzima wewe.
Nipo napambana na network huku nilipo iko low hadi inaniudhiNaona wako busy sana watakuja tu
Leo ulipotelea wapi
NadhaminiJirani ndio maana nadhamini huu ujirani wangu na wewe.
Hamna huruma kule






Ati alienda kusomea nini?Nadhamini
Nathamini
Hivi huko shuleni ulienda somea ujinga![]()

Jirani ndio maana nadhamini huu ujirani wangu na wewe.
Hamna huruma kule




