Nilitegemea ukija utaaga hapo hapo me mzima jaman hofu kwako tu
unajua tena weekend, Mimi pia niko poa nashukuru Mungu nilikumis tu
Me zaidi babe ulale sasa usije ukaporwa simu mida imefika ya kulala![]()
![]()
unajua tena weekend, Mimi pia niko poa nashukuru Mungu nilikumis tu
Me zaidi babe ulale sasa usije ukaporwa simu mida imefika ya kulala
umeanza sasa
Babe sio nimeanza nimeongea tu ukweli mm sakayo anakula atakuja![]()
umeanza sasa
Wapi sakayo?
Oops, mwambie nampa hiBabe sio nimeanza nimeongea tu ukweli mm sakayo anakula atakuja
Mambo Salama.![]()
Brother vipi shemeji hajambo
Aisee, hii itakuwa Bongo movieShunie nisaidie, Mi nimekuja Mjini na lorry la mkaa! Huyo dada hapo kushoto ndio zali ama!![]()
Hilo gundu lako inabida ukaoge kwenye kina kirefu cha bahari kama pale nungwiMambo Salama.
Jamaa Mi bado nipo singo
Kwahiyo ndio unapotea eenhOops, mwambie nampa hi
Ndio huko unakuta Cameraman mwizi wa simu kama Huyo?Aisee, hii itakuwa Bongo movie
Hao watakuwa wapopo kuigiza inataka moyo mwangalie mwanaume mwenzio hapo
yani huyo jamaa atakiwa na ukame wa miaka kama sita hiviMkuu hunipendi. Nungwi?Hilo gundu lako inabida ukaoge kwenye kina kirefu cha bahari kama pale nungwi