Nini tenaHUMU KUNA UGONJWA MBAYA SANA UMEINGIA
Yaani nikikumbuka hapo tu... Roho yaniumaaaa




roho inakuuma kama juzi kati ulivyomfanyia kapuku
Ugonjwa upiii huo mbona sie wazimaHUMU KUNA UGONJWA MBAYA SANA UMEINGIA
UnaitwajeHUMU KUNA UGONJWA MBAYA SANA UMEINGIA
Hivi kwani nilimfanyaje jamani....roho inakuuma kama juzi kati ulivyomfanyia kapuku
Na kwako pia jaman naona mida imefikaMlale salama wapendwa.
Asante,mbona waguna tenaKhaaaa
Na wewe pia
Hivi kwani nilimfanyaje jamani....
Ujue T ana roho yake ya kipekee, aki Mungu anisamehe tuu



Yule mwanaume ana roho ya pekee kweli kuna siku alipost pic mwanaume kachuchumaa mwanamke kamkalia mgongoni ikaandikwa mwanaume yupi anahitaji kupata hii tuzo nikamwambia hiyo tuzo inakuhusu wewe akaniambia inamuhusu Lee nikamwambia Lee haimfai hana uvumilivu huo
Hakuna tembele wala mchicha mida ya kuambiwa uzime simu imefikaLeo tembele![]()
![]()
Hivi unashangaa niniii si ndio mida yake hiiKhaaaa
Na wewe pia
Naona mida ndo hiyo...Asante,mbona waguna tena
Leo alhamis hakuna labda na mm nipokonywe simu hivi ujue hajui kama nipo hukuNaona mida ndo hiyo...
Watamthilia nae namuona kwa mbaaaaliiii anaaga pia





Yaani T jamani, Mungu amtunze tuu apate wa kufanana nae!!! Aki ni wa kipekee sijapata ona!!!!!Yule mwanaume ana roho ya pekee kweli kuna siku alipost pic mwanaume kachuchumaa mwanamke kamkalia mgongoni ikaandikwa mwanaume yupi anahitaji kupata hii tuzo nikamwambia hiyo tuzo inakuhusu wewe akaniambia inamuhusu Lee nikamwambia Lee haimfai hana uvumilivu huo
AmeenYaani T jamani, Mungu amtunze tuu apate wa kufanana nae!!! Aki ni wa kipekee sijapata ona!!!!!
HahahaLeo alhamis hakuna labda na mm nipokonywe simu hivi ujue hajui kama nipo huku![]()