X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,700
- 14,766
Doh...ila maringo ya huyu yamezidi...anaufanya moyo wangu kama kitenesi...kudunda dunda...mwishowe utapasuka kwa kudondokea mwibaKuringa kaumbiwa mwanamke ujue
Doh...ila maringo ya huyu yamezidi...anaufanya moyo wangu kama kitenesi...kudunda dunda...mwishowe utapasuka kwa kudondokea mwibaKuringa kaumbiwa mwanamke ujue
Upo ziwaaa
Nasikia leo ni siku ya kushikwa nyonyo duniani






dada acha urongo buana
Mguno wa uchochezi mfyuuuuMmmmh
Ndio vizuri ujueDoh...ila maringo ya huyu yamezidi...anaufanya moyo wangu kama kitenesi...kudunda dunda...mwishowe utapasuka kwa kudondokea mwiba
Poa....ila tufanyeni juu chini...jukwaa hili tulipiku lile la MakapukuNdio vizuri ujue
Kweli viledada acha urongo buana
MwenyeweMguno wa uchochezi mfyuuuu
Poa....ila tufanyeni juu chini...jukwaa hili tulipiku lile la Makapuku
makapuku me ndio nyumbani huku hatushindani hiki ni kijiwe chetu tu cha soga na kukutana story kaweke entertainment
Na lara naye kasusa,arosto itakuuaSanaaa aisee napenda sana story tena ungeweka kipindi hiki ungetupata sana tuna arosto sana entertainment story zimesimama
We si ulisema hujazaliwa badoUjue nina miaka 6 Mbona unanifanyia hivyo lakini![]()
![]()
![]()


We hujagi entertainment unasubiri za Lara huko kuna story kibaoNa lara naye kasusa,arosto itakuua
Tuko poa Youngblood za wewe jamanSijui hata nilikuwa wapi
Shunnie
Linamo
Sakayo na wengine wote mko poa?
Niko poa kabisa,niliwamis sana aisee.Tuko poa Youngblood za wewe jaman
Akiweka usisahau kuniitaMapenzi na maisha ikiisha weka za kusisimua na kuamsha hisia
Sisi pia mpaka tumeamua kuanzisha kijiwe cha kukutanaNiko poa kabisa,niliwamis sana aisee.
Sawa sawaAkiweka usisahau kuniita
Naona unataka madude ya msomaliHapana nitasoma nikiwa na shemeji yako


