its true
Hahaaa...Yale ya ng'ombe shunnie anayajua
Mshakuwa wanasiasa! Tangu mseme mnakuja, hata kama kande zingeshaiva!Twende tukale mapupu
Hivi kwani yale ya ........... hayako hivi?ngoja cuzoo aje huwa nayaona yakishakatwa sasa sijui ndo hayaaa
Fanya imagination na yale ya Ng'ombe yanapokaa!Eti ndo haya
Mama wawili wangu huyo mkuu.
Safi sana MkuuMama wawili wangu huyo mkuu. Heshima kwako na wewe