MmhNashukuru Mungu yako poa.
Nipoo Shunie kwa muda kiduchu tuHivi mupoooo
Siku hizi kijiwe hakina mvuto maana akina cuzoo wameufyata kivyaoNiaje cuzoo
Nani kakutekaNiaje cuzoo
Veeeep
Jamaan
Miss u jaman NeyLeo ndio mmekumbuka kijiwe eeh
Maana sio kwa ukimya huo


Hatujambo mme waoHamjambo wake zangu??
Missing you too shunie, upo wapi jamani mmekuwa kimya sana aiseeh?Miss u jaman Ney![]()
Tupo mamy jaman labda tunapishana tuMissing you too shunie, upo wapi jamani mmekuwa kimya sana aiseeh?