Mimi mzima, hofu kwakoHata sikukuona jamanii.
Mzima lakini?
Watu wako busy sanaMaana naona tunapotea sana![]()
![]()
![]()
Labda.Watakuwa wanavumbua makinikia
HahahahKho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho Kho
Inabidi kile kipimo cha KUPIMA umli kihusike hapaHaaaaa kwani kuna siri gani ya mastaa wa bongo kukimbia umri wao![]()
![]()
![]()
![]()

Yaniii nahisi tunawakaribia China sahivi![]()
Yaniii nahisi tunawakaribia China sahivi![]()
Labda.
Si unajua nchi yetu ya view-wonder siku hizi
Umekuwa unavaa sare nyeupe barabarani mbona tunapigana mikono hadi huku.
Mimi mzima carba.
Hata ule muda wa kuzunguka jua ushapungua ujueIla Tz tumezidi kasi ya dunia![]()
![]()
![]()
Ivi carba, umemuita KK au...sio kwa speed hiiUmekuwa unavaa sare nyeupe barabarani mbona tunapigana mikono hadi huku.