Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
LinamoKijana
Ujue unajuaga kupotea hadi unaumiza vichwa vya wengine.
Mzima jamani wewe
LinamoKijana
Pole jamani.Niko poa kabisa aaa
Kuna chimbo nilikuwa network ni tatizo.
Uko poa lakini
Yaani wewe... Ujue NakumissNimerudi Kamanda![]()
![]()
Kwanza niombee nifike salama nipo njiani kuja kukusapraizHahaaaaaa sorry Hubby![]()
Ivi umepata kiti kweli!!Nishakaribia swahiba.
Jamaani...Mi nimekumiss mpaka napoteza network
Anapenda mapupu si kawaida ndio maana sio mkakamavuNimepata kigoda rafiki.
Huyu shunie kazi yake itamshinda![]()
Poa poaNishakaribia sis
Siku nyingine network ikimzingua mteze basi ili asipotee kama hiviJamaani...
Karibu mwaya
HayaSiku nyingine network ikimzingua mteze basi ili asipotee kama hivi
Mimi nasubiri mrejesho wake wa tumbo kungurumaAnakuwa mlaini mlaini kama mapupu yenyewe.
Sahivi atakuwa kwa Slim5 anakunywa supu ya mapupu na chapati![]()