Naruhusiwa kuja na kidumu cha petrol?kwa wale ambao majina yetu yameanzia na herufi A. kesho tukutane ikulu
haswaaaaaa....., ingawa kuna advanceNaruhusiwa kuja na kidumu cha petrol?
Bila kusahau tundimuBandama ipikwe pamoja na mapupu. Daah. Pilipili pembeni. Aiseee.
EheeNilikuwa natoka Arusha Ijumaa kuja Seven Eleven...!
Mie vichwa vya kuku na utumbo yaan nikiona mahali akili inahama kabisa nipate na pilipili yenye ndimu ya kutosha weee nitakula balaah hata sijali mvurugiko wa tumbo hayo matokeo ni mbele kwa mbelenayapenda Ney kuna siku nilienda uswahilini huko nikakuta yanauzwa 500 acha nikule ya buku na chapati jamaan
Eeeh. Haswaaa.Bila kusahau tundimu
Sawakwa wale ambao majina yetu yameanzia na herufi A. kesho tukutane ikulu
Kuna lingine Utumbo a.k.a PamphletWoiiiiii me sijui jina lingine najua mapupu kuna lingine bandama
Acha hizo bwanawa kishua Ney ukuje umemuona wa kishu huku
Cjui 2 kafichwa nani?Ukimpata unitag.
Nimemiss hadi nimesahau mgawo wa Makinikia
Wewe lako linaanzia na K, tuliza kwanza.kwa wale ambao majina yetu yameanzia na herufi A. kesho tukutane ikulu
Marahaba dada mzima wewe?Ney Shkamo
Maini mepesiNaombeni Jina halisi la "mapupu" shunie,sakayo neybright na wengineo
Mie vichwa vya kuku na utumbo yaan nikiona mahali akili inahama kabisa nipate na pilipili yenye ndimu ya kutosha weee nitakula balaah hata sijali mvurugiko wa tumbo hayo matokeo ni mbele kwa mbele