Strange but true: Samehe usamehewe!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,899
Reaction score
15,126


Siyo siri, huwa nakerwa sana na tabia ya wana JF kuingiza maneno ya matusi.
Hata hivyo niliingia mtego huo huo wa kumrushia tusi kwa tusi, member aliyenitukana ya nguoni nami nikamrudishia ya nguoni.
WRONG!
Nikaishia BAN.
Hata hivyo baada ya hasira nikamsamehe mtu huyo, nami nikapata jibu langu mwishoni mwa wiki nikiwa narudi nyumbani jioni.
Samehe, usamehewe!
 
Lkn kwa binadamu wa sasa ukishamsamehe jihadhari nae na muepuke maana ukiwa msamehevu sn watu wanatake advantage hapo hapo,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…