Ukikosea uoe mwanamke kama huyu utakula hasara kubwa....
Mimi ni msichana wa miaka 25.miaka minne iliyopita nlikutana na kijana flani nkiwa chuo,tukatokea kupendana tukawa wapenzi.muda haukupita sana,huyo kijana akaanza nionesha his true colours akawa mhuni mno.ikaanza kiburi na kikubwa akawa anacheat hadi ikawa inafahamika chuoni sababu kila kukicha kulikuwa na story kuhusu yeye na msichana flani.nliumia na kukonda sana sababu nlimpenda mno kupitiliza.nlikuwa nakosa usingizi,nakesha nalia kwa maumivu na vituko haviishi.mara nimpigie anikatie simu na kuizima kabisa hadi kesho yake akijiskia kuiwasha kumbe anakuwa yuko na binti mwingine.nkitishia kumuacha,anajirudi kwa siku kadhaa kisha anaendelea na uhuni wake.mchezo ukawa huo,nalia baadae namsamehe.na kipindi chote hicho sikuwahi cheat ingawa nlitongozwa mno na mi ni mtu ninaejiheshimu.mazoea na wanaume sinaga.nlimvumilia kwa miaka mitatu,siku akafanya tena nkajiskia moyo umechoka kabisa mateso nkaamua enough is enough nka break up mazima. Mara ya kwanza nlivomuacha hakushtuka,akijua ntarudi tu kama zamani.siku zilivoanza kukatika,akajua I was serious ndo akaanza kutapatapa begging me back kwa kila namna na mara kibao alikuja kwangu na kukesha nje hadi asubuhi akiomba nimsamehe.mi nkiamka majirani ndo wananiuliza imekuwaje wamemuona mtu kashinda nje kwangu usiku kucha.by then nkakutana na kijana mwingine anaenipenda sana na kikubwa nlichompendea huyu kaka,haoneshi kabisa kuyumbishwa na wanawake.ni mtu ambae anaweza mtukana msichana mbele yangu anaetaka kuleta mazoea,jambo ambalo sikuliona kabisa kwa ex wangu.ex wangu mara zote alikuwa bize na simu,kutwa anaflirt na wasichana.sasa saivi its already a year na ex hajaacha kuniomba nimrudie.katumia kila njia,kawafuata ndugu zake,kaenda kanisani,kawafuata ndugu zangu,amekuwa akinunua zawadi za kila aina.anatumia kila mbinu na amekuwa akiwaeleza watu amenikosea anaomba wamsaidie kuniomba msamaha.mimi kila nkiwaza kurudi,moyo unasita nkikumbuka the sleepless nights na nlivotesekea mapenzi.na kikubwa nna mpenzi who really loves me...
Naombeni ushauri,sababu at this point naona inaniweka in a sort of dilemma.najikuta naogopa kuja kuumizwa tena na my boyfriend,what if nae atabadilika huko mbeleni na my ex is really sincere anatubu.au nikaja mrudia ex,kumbe ni usanii tu akaja niumiza na hali nimemuacha a good man away who seemed to truly love me.
....Naombeni ushauri na si matusi!...asanteni.
Ukikosea uoe mwanamke kama huyu utakula hasara kubwa....
Usirudi nyuma dada yangu, utakuja kujuta maisha yako yote ukimrudia huyo ex wako,hana lolote. Ngoja nikwambie kitu kuhusu sisi wanaume huwa hatubadiliki hata siku moja;huyo ex wako ni kicheche na hakuheshimu wala hakupendi na ukweli utabaki hivyo milele bila kujali sasa hivi anakubembeleza kiasi gani umrudie. Ukijiroga tuu kurudi utajuta,and it will be too late. Kinachotokea sasa ni vile tuu amemiss the way u used to cry and beg for him;the way u used to worship him(if i may say so),ile yeye kuwa na authority ya kukunyanyasa na wewe kuwa helpless about it,na hiyo huwa unaweza kumfanyia msichana anaekupenda kiukweli kweli sana,na akakuvumilia,sasa tangu umuache hana tena mtu wa kumfanyia hivyo,he will say all the words and he will do anything to get that back,ila haimaanishi kwamba anakupenda. Once he get that chance again, utakiona cha mtema kuni. Umempata mtu anaekupenda move on dada. Ukifanya kosa na kumrudia huyo ex utakuja kulilia chooni.
Ngoja nikumegee siri nyingine kuhusu sisis wanaume dada yangu, ukiona mwanaume anakucheat mpaka anaonyesha waziwazi kuwa anakucheat, na hajali wala haonyeshi kujutia hata ukijua kuwa ancheat jua kuwa huyo mwanaume hajawahi kukupenda,hakupendi wala hatakuja kukupenda maisha yote ya duniani na ahera, that is a fact. Ni hayo tu.
Dating your ex is same as doing the same thing in exactly the same way and expecting different results. Which is a perfect definition of insanity
Labda tuwe tunawacharaza na viboko ndo tuwape ushauri muelewe
sasa urudiane nae kwani umekogwa?
stupid girl....
Duuh unampenda pressure wewe....miaka yote umekuwa nae hakukups respect sasa eti anaomba msamaha na wataka umrudia...holy ----!
Bado kumbe hujawajuwa wanaume. ...rudi ukalizwe tena
Mkuu money stunna ....wewe embu fikiria kama jamaa anpanga mipango yake anajua mchumba yupo alafu demu anakuja kumwambia ninarudi kwa zamani.....hawa ndo wale mpaka kwenye ndoa bado wanakuwa na mawenge wenge unakuta unasema nimeoa nitulie ...lkn unakuta hamna utulivu wala nini..hasara tena sana harafu anasema anajieshimu! uyu mwanamke ni hasara kweli. ukioa kama uyu ni kujutia na majanga.
Inaonekana ajui nin akitakacho. magume gume unaweza piga mpaka ukaua. sasa uyo jamaa yake mpya sijui anajisikiaje akigundua hivi.
Mkuu aminia wewe, hii inaitwa mathematical way of calculating future risk!!! Sasa sijui kama ina-apply mpaka kwenye kumpata mke/mumeChukua peni na karatasi, andika orodha ya sifa za mwanaume wa kuwa nae afu uanze kuwapa marks in each particular item. Atakaepata nyingi ndio huyo huyo,
Ukikosea uoe mwanamke kama huyu utakula hasara kubwa....
....Ni hatari sana mkuu...ukiingia kwenye ndoa na mwanamke kama huyu unaweza usifanye lolote la maana....wewe kila siku unakua kwenye arguments tu....na hamna kitu inaleta umaskini kama kila siku kuawa kwenye argument za mapenzi rather than argument za mambo ya maendeleaoNdio maana watoto wa mjini wanasema usioe mwanamke aliepita phase na mwanaume mwingine,, wanamaanisha mwanamke yeyote ambaye ameshapita strong relation kiasi cha kuwa slave wa mwanaume mwingine ni ngumu sana kumfanya atulie..
Maana kila atapokutana na yule X wake u slave unarudi na anamegwa kama kawa
Mkuu money stunna ....wewe embu fikiria kama jamaa anpanga mipango yake anajua mchumba yupo alafu demu anakuja kumwambia ninarudi kwa zamani.....hawa ndo wale mpaka kwenye ndoa bado wanakuwa na mawenge wenge unakuta unasema nimeoa nitulie ...lkn unakuta hamna utulivu wala nini..
Mkuu hekima tele wanawake kama hawa huwa wanasumbua kishenzi.....ni wale wanawake ambao wanaangaka na mapenzi muda mwingii...na mara nyingi ukiwa nae utakuta na wewe unaangaika na mapenzi tu badala ya kufanya mambo mengine....Natamani huyo boyfriend mpya apite kwa bahati mbaya asome huu uzi hapa halafu kwa bahati nzuri awe anajua story ya huyo girlfriend wake.
Dadeq! Huyu dada lazima alambe kibuti cha mgambo.
Hili hata halikupaswa kufika hapa.
Inatia hasira hizi thread nyingine jamani!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums