D degepori Member Joined Mar 31, 2014 Posts 8 Reaction score 1 Jun 30, 2014 #1 hivi serikali mnalichukuliaje hili suala la ujenzi wa barabara wa hawa strabag..yani imekua kuchoshana na foleni zisizo za msingi wao kutwa kubomoa hatuoni wakijenga. eti mwenge mpaka kinondoni inakuchukua masaa matatu... sio fresh aisee swaum kali
hivi serikali mnalichukuliaje hili suala la ujenzi wa barabara wa hawa strabag..yani imekua kuchoshana na foleni zisizo za msingi wao kutwa kubomoa hatuoni wakijenga. eti mwenge mpaka kinondoni inakuchukua masaa matatu... sio fresh aisee swaum kali