haya sasa, mwanamke kakosa mume msomi mwenye kazi yake na pesa zake kwasababu ya upumbavu wake mwenyewe, wakati huo huo kuna wanawake wanahitaji waume wa kuwao ila hawawapati,
na wanawake wengine wamefkia hatua ya kukosa hata vijana/wanaume wa kuwapa tu ile salamu ya mambo dada, mambo mrembo. Ila yeye alipata wa kumuoa kabisa lakini kwa upumbavu wake akajiaribia mwenyewe.
Ama kweli mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake mwenyewe.