Story ya kweli. Nahitaji ushauri

Nje ya mada...matatizo umejitafutia mwenyewe.

Jeni alipokucheat ulitakiwa uachane naye haraka saana au umtumie kimaslahi. Yaani ungejifanya umesahau suala la kucheatiwa wewe ukiskia hamu unamwita unajilia anakwenda zake tena ungetumia kondomu.

Mwanamke akishacheat acha huwezi mrekebisha.
 
Pale tatizo linapotafuta tatizo.
Kila siku nasema don't catch filingiz hamuelewi.
Kijana wa kiume kunywa pombe sababu umeachwa ni umama, narudia tena ni umama.
Bora amekuacha, mngeona si ungekuwa ushakufa kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom