Story fupi ya dada aliyeshuudia mateso India inahuzunisha sana

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
Waafrika wanaishi kwa shida sana nchini India.Unaweza kupigwa na kudhalilishwa mbele ya polisi na bado usisaidiwe kwa lolote.

Unaweza kuwa unatembea barabarani Muhindi akaamua tu kukutemea mate.Nakumbuka siku moja nilipita nje ya gate la Muhindi. Akaamua tuu kufunguliwa Mbwa wake wanikimbize....Nilikimbia huku Mbwa wakiwa wananifukuza. Nikaanguka chini na kuchanika mguuni.

Mimi na rafiki zangu tuliishi kwa kunyanyasika sana India. Tulikuwa tunashikwa makalio na madreva Bajaj NK.Hayo mambo machache yalinifanya niichukie sana India.

Watu wengi huwa wanakutana na civilized Indians. Inakuwa si rahisi kujua ubaya wao. Lakini si watu....Nawaambia Indians ni watu wa ajabu sana jinsia unavyowaona sivyo walivyo.

Siku moja nilishuhudia Mwafrika kutoka Ivory Coast akitumbukizwa kwenye shimo la maji machafu yenye kinyesi.Sijawahi kumshauri Mtanzania yeyote ampeleke mwanae India kwa masomo.

Na sishauri.
 
Kama mpaka polisi wao wanashiriki basi ilikuwa lifanyike jambo ili hata serikali yao ishtuke. Vijana waandamane kwenda ubalozi wa India na ikiwezekana wafanyiwe vitendo vya kihuni nao ili kujua kuwa watu wamechukizwa. Wakati mwingine jino kwa jino inasaidia kuheshimiana
 
Waafrika wanaishi kwa shida sana nchini India.Unaweza kupigwa na kudhalilishwa mbele ya polisi na bado usisaidiwe kwa lolote.
Unaweza kuwa unatembea barabarani Muhindi akaamua tu kukutemea mate.Nakumbuka siku moja nilipita nje ya gate la Muhindi. Akaamua tuu kufunguliwa Mbwa wake wanikimbize....Nilikimbia huku Mbwa wakiwa wananifukuza. Nikaanguka chini na kuchanika mguuni.
Mimi na rafiki zangu tuliishi kwa kunyanyasika sana India. Tulikuwa tunashikwa makalio na madreva Bajaj NK.Hayo mambo machache yalinifanya niichukie sana India.
Watu wengi huwa wanakutana na civilized Indians. Inakuwa si rahisi kujua ubaya wao. Lakini si watu....Nawaambia Indians ni watu wa ajabu sana jinsia unavyowaona sivyo walivyo.
Siku moja nilishuhudia Mwafrika kutoka Ivory Coast akitumbukizwa kwenye shimo la maji machafu yenye kinyesi.Sijawahi kumshauri Mtanzania yeyote ampeleke mwanae India kwa masomo.Na sishauri.
Exactly ila tulishawakabidhi kila kitu.
 
Mnaendaga kutafuta nini huko..., maana hao wahindi hubaguana wenyewe kwa wenyewe.., kuna madaraja ya dalits (unclean) hasa wale wenye darker skin na wale wa daraja la juu. ni wajinga sana hao wahindi
 
Time now to ask ourselves as why hates us in their country while lived peaceful and enjoyable life in our land. We are very sad with what they did to our colleague in Bangalore. We must tell them now enough is enough.
 
zamani India ilikuwa ni a very nice place nakumbuka kipindi hicho 2004 mambo yalikuwa safi tu foreigners walikuwa wana tritiwa very fair walioharibu ni hii mijitu toka Nigeria, ivory coast
india wako kutapeli, kufanya biashara haramu n.k

hapo wahindi wakaanza kuwachukia waafrika
 
Dah! story zenu zinanfanya nimfikirie mchepuko wangu wa kimwera unaofanya kazi kwa mhindi pale kariakoo....!!
Sijui nimfungulie kibiashara chake cha vipodozi tu.. make kila tukikutana haishi kunisimlia vitimbi wamfanyiavyo hawa magabachori!!?
Daah! huku sasa kuharibiana bajeti...
 
zamani India ilikuwa ni a very nice place nakumbuka kipindi hicho 2004 mambo yalikuwa safi tu foreigners walikuwa wana tritiwa very fair walioharibu ni hii mijitu toka Nigeria, ivory coast
india wako kutapeli, kufanya biashara haramu n.k

hapo wahindi wakaanza kuwachukia waafrika
Mkuu hii bado sio tiketi ya kutunyanyasa... mbona wao wana mascandal rukuki ya ufisadi, kukwepa kodi na drug deals but still we treat em poa??
 
Nchi ya ajabu kama hiyo ni kuweka nia ya kutokwenda....By the way wameacha kujisaidia hadharani?? Of course India is a nuclear state
 
Hata wakiwa Tanzania wahindi wanwanyanyasa wabongo kama kawaida.
 
Mnaendaga kutafuta nini huko..., maana hao wahindi hubaguana wenyewe kwa wenyewe.., kuna madaraja ya dalits (unclean) hasa wale wenye darker skin na wale wa daraja la juu. ni wajinga sana hao wahindi
Wewe nae wa ajabu unapochangia hoja kwa kusema mnaendaga kufanya nini unataka basi watu wakae tu kama wewe?
Hayo ndio majibu pia ya wafagnya kazi wa ubaloxi humshutumu mtu ulifata nini huku? Wewe nawe je ulifata nini?
Ubalozi siku zote ni wawakili wanapashwa Kuwa pro pia full supporters wa raia wao.
Shida haina hodi popote unaweza kuna tu! Na wakati mwingine shida nayoweza ipata London inaweza Kuwa nyepesi kuliko ile nawezaipata Buguruni.
 
Hili ni tatizo la wazazi wa kiafrika,unakuta mtu anampeleka mtoto wake kwenda kusoma nje bila hata kufanya utafiti wa mji ambao mtoto wake ataishi,culture ya watu wa huko etc.yani mzazi ni careless anashindwa kumprotect mtoto. We mtu una hela zako za kuweza kumsomesha mtoto chuo cha nje kwann usitafute nchi yenye tamaduni nzuri kwa wageni,mfano south africa kuna vyuo vizuri tu,case kama hizi India zinaripotiwa kila siku. Mzazi mwenye kumjali mwanae lazima afanye utafiti kidogo juu ya mahali mwanae anataka kwenda ili kujua kama atakuwa salama.
 
Back
Top Bottom