Wapenzi wengi ndani ya mtandao ni matatizo matupu. One side yaweza kuwa serious kama huyu dada ila nyingine bomu. Dada you seem to be worth a mother. Muombe Mungu na kama unaamini katika maombi tafuta mtumishi wa Mungu akuombee. Kuna roho chafu zinazozuia sana maisha ya baadhi ya wanadamu.