John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
Haha, mbona nimeona thread hapa anakuponda anasema ulijishaua. Haha kumbe ni kidume. Hii kali.
Thread gani? Hahaha .. Kumbe na yeye kaja huku .. Nitupie link ya hio thread
Hawa watoto wanaokuja kuomba urafiki hapa jf kama hajakupa picha take usikubali kukutana naye.. Juzijuzi hapa mtoto ni me m pm akakubali kwani aliweka mwenyewe tangazo kuwa anatafuta mtu.. Mtoto akasuggest tukutane steers.. Mimi wa temeke sjawahi fika hapo sema nkaona nijichanganye tu ila mtoto nkajua huyu mgeni wa hapa dsm kwani kuna viota vikali vipya kuliko hio steers ya long...
Basi wa temeke nikajichanganya jioni nikawahi. Kabisa ili akija anikute na simu yangu ikawa silence nkangooja ajekwanza ili nione mtu atakayenipogia nithaminishe kwanza kabla ya ku m face... Kikatokea kibonge mwanaume si mwanaume dume si dume .. Kikakaa kikatoa sim kupiga sim yangu ikaita . Mh sikupokea nikasepa nilipofika mitaa ya nssf nkajifanya kumpigia kumuuliza uko wapi ... Akaniambia usje umechelewa .. Nikasema bora.. Nikasepa zangu.. So guys watch out!!!!
Kaja kakusurubu hapa balaa uliogopa bill pale steers au ulikuwa huna hela baga? Ungempeleka feri mkale pweza na dagaa.
Steers unafikiri ningetumia kiasi gani bana hadi niogope .. Kuna KFC so good imefungulia mwenge unaijua?
Kwanza ningemnunulia kahawa apandwe na manyege tu basi.. Anyway .. Hii ndio dawa ya wasiotaka kutuma picha zao kabla..... Bora classmet amechukua dead ball
Classmate kachukua loose ball, vp uliona halipi? Mvuto hana? Wengine kama hana mvuto utakuta nyuma kajazia balaa huyo vp?
Ujana ale na wengine .. Uzee atumalizie sisi
Staki kumchambua sana dada wa watu hapa.. Thread yangu imejitosheleza.
Nimekuuliza unaijua KFC mpya?
Wazee wazuri gharama zinapungua, mfano anakuwa hatumii losheni badala yake anatumia baby care ya buku tu.
Uzuri yeye alikuchambua sana, KFC mpya ipo maeneo yepi nami nimpeleke mbaby
Haha ... Sasa wewe hapo utakuwa unaleta njaa.. Receptio muhimu bwanaaa
Title yake wanaume wa humu jf muache mapozi. Kakuponda mbaya, asijue ni mabaga fresh aka TMK
Mi reception ya mwisho cha kwanza ni mpododo kwanza
My babi my babi hapa.... Una hela weweee ... Chukya dead ball hio au ww ndio clas met nini ? Ha ha